Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hahaaaa
Dah!,Ngowi kala hela za bure hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!,Ngowi kala hela za bure hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kulia sahivi, mbna bado msimu haujaanza?? Hiki kilio ni cha msimu mzimaaa,Kuna mambo yanashangaza! Jezi ni za Yanga. Badala ya kulalamika mashabiki wa Yanga kitokana na ubaya wa hizo jezi!
Eti wanalalamika mashabiki wa simba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kulia sahivi, mbna bado msimu haujaanza?? Hiki kilio ni cha msimu mzimaaa,
Kunywa maji mengi ya uvugu vugu, afu pumzikaaaa.
Byuti byuti. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena huko alipo anadondosha chozi km lote, namfahamu huyu topolo lia lia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa!!!!!jamaa anajitutumua kweli lkn moyon anajua kabsa kuwa wamepigwa