Jezi za Yanga zenye picha ya Kiganja cha mkono zizuiliwe, ni kejeli

Kwanini hamkuanza kupiga kelele kwenye jezi zenu zilizowekwa 1:5 kwenye jezi? Hizo tano tano na nyie zimewapendeza ndio maana zilivyowekwa kwenye jezu hakuna aliyekasirika.
 
Sala hakuna haja watazikimbia wenyewe moto utakapokolea
 
Hiyo ni salamu tu usiogope.
 
Wafuatao walifungwa tano na Yanga msimu uliopita kwenye mashindano mbalimbali;
1. KMC
2. 5imba
3. JKT
4. Ihefu
5. Polisi
etc



Tano mpigwe wote, ila kuumia uumie peke yako..!!! Au wewe ndo msemaji wa waliopigwa tano na Yanga?
 
Una uhakika hivyo viganja maana yake ni 5 walizokula Makolo? Je kama ni salamu tu?
 
Hahaa.. Mnavyoendelea kulialia wenzenu kule wanapiga tiki kuwa lengo limetimia. Jezi yenu mbovu na bado kwa mtani anakujungua na matokeo ya msimu uliopita. Ikiuma Chomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…