Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪
Niwatie moyo sana na tusikate tamaa.. Elimu tulipata itusaidie tuweze kujimudu kimaisha kupitia kushughulisha akili zetu kwenye kila aina ya ubunifu wenye tija utakaotuletea maarifa mapya, connection, kipato ajira na kutimiza ndoto zetu maishani, huku tukiwa msaada mkubwa kwa familia zetu ndugu jamaa na hata taifa letu
Tusiendelee kuwaza ajira za kuajiriwa huko kuna utumwa mwingi.. Tuwe wabunifu leo ili kesho waje kutuomba kazi💪🏿😀
Mwaka huu nimeaunza tofauti kidogo hapa JF kwenye upande wa kuweka nyuzi.. Nimekuja na mtindo wa kupost picha za ubunifu mbalimbali kwa kutumia malighafi na vitu vilivyotumika ambavyo kwa macho ya kawaida vinaweza visionekane kuwa na maana yoyote
Mamia hayo ya picha nilizopost hasa kwenye jukwaa la ujenzi ni maandalizi ya kuwa na database ya picha za ubunifu ambazo tunaweza kuzitumia napo baadae kama wazo langu hili likipata kibali na kuwa halisi
Nawaalika wale wore wanaopenda ubunifu na kushughulisha bongo zao.. Naamini kwa pamoja tunaweza kutoka na kitu kikubwa sana kitakacholeta ahueni kwa wahitimu wengi wasio na ajira na vijana waliokosa fursa za masomo kutokana na sababu mbalimbali
Tunaweza kuwa msaada mkubwa kwa jamii na serikali kwa ujumla? Ni wazo linalohitaji maoni yenu kwa ujumla.. Hasa kwenye ubunifu wa kutumia
Vipande vya mbao
Mitipori
Makopo yaliyotumika
Chupa zilizotumika
Mamba
Vizibo vya chupa
Tairi chakavu
Vyuma chakavu nknk
Nawakilisha..! Mwenye kuhitaji picha za mfano kwa kila kitu nitaweka