JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

Mshana jr mimi naamini maubinifu yote haya yanatokana na wewe kuwa na mambo makubwa ya kiroho.?
Hapana ni kuamua kuishughulisha akili kwa tusio na ajira za kudumu
 
Mshana hebu njoo Dodoma mkuu, Mambo mazuri haya eneo ninalo mtani tutatafuta!Safi,Safi,Safi kabisa mkuu!Hela hii.
Nina safari ya huko mwezi huu nitakutafuta kazima💪🏿🙏🏿
 
Sanaa ni kitu cha ajabu sana
1739425422697.jpg
mzizi mmoja wa mti ukiwa mbunifu unaweza kutoa kitu kizuri mno
 
Mshana jr mimi naamini maubinifu yote haya yanatokana na wewe kuwa na mambo makubwa ya kiroho.?
Mganga wa kienyeji...wenyewe kina Mrindoko wanajiita walimwengu. Wana energy kwenye levels za kushangilia kukimbiza mwenge Tanzania nzima 😂 😂 😂 😂 😂
 
Yes, nimetafuta hiyo liquid inaitwa epoxy resin naona bei yake ni nzito kidogo, about 100k per litre
Kuna anayejua inakopataika kwa bei rahisi?
Kuna alternative yake nadhani ya bei poa
 
Back
Top Bottom