JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

Mshana jr mimi naamini maubinifu yote haya yanatokana na wewe kuwa na mambo makubwa ya kiroho.?
Hapana ni kuamua kuishughulisha akili kwa tusio na ajira za kudumu
 
Mshana hebu njoo Dodoma mkuu, Mambo mazuri haya eneo ninalo mtani tutatafuta!Safi,Safi,Safi kabisa mkuu!Hela hii.
Nina safari ya huko mwezi huu nitakutafuta kazimaπŸ’ͺπŸΏπŸ™πŸΏ
 
Sanaa ni kitu cha ajabu sana mzizi mmoja wa mti ukiwa mbunifu unaweza kutoa kitu kizuri mno
 
Mshana jr mimi naamini maubinifu yote haya yanatokana na wewe kuwa na mambo makubwa ya kiroho.?
Mganga wa kienyeji...wenyewe kina Mrindoko wanajiita walimwengu. Wana energy kwenye levels za kushangilia kukimbiza mwenge Tanzania nzima πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yes, nimetafuta hiyo liquid inaitwa epoxy resin naona bei yake ni nzito kidogo, about 100k per litre
Kuna anayejua inakopataika kwa bei rahisi?
Kuna alternative yake nadhani ya bei poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…