JF all creators: Jukwaa mahususi la wabunifu wa JamiiForums

FB_IMG_1740761293323.jpg
 
Uvunaji wa maji ya mvua
mimechekecha hapo nimegundua ilo bomba kubwa lina saidia maji yakijaa apo kwenye kisima yatapolewa na hilo bomba lililo u shape lenye uwazi juu na kupunguza maji kupitia mbomba kubwa.

imekaa poa sana hii kwani haili nafasi kwa juu
 
💪🏿👌🏿📌🔨
 
Usanii ni chochote hivi ni vipande vya mbao vilivyoungua nusu.. Jamaa kavishape kapata saa
1740794306897.jpg
 
Ni lazima wazo liwe kichwani ndio unaweza kubuni kitu
1740793595011.jpg
 
Back
Top Bottom