Jf-arusha wing...safari updates

There are currently 12 users browsing this thread. (9 members and 3 guests)

Mamito hapo no. 6 naomba maelezo tafadhali kabla my force per unit area haijashuka!!
 
Hahaha Mkuu naona hapo juu hii ni sababu nyingine itakayonifanya nisikose hii trip ili kulinda mali zangu! Naona Crashwise na Derimto wameanza kutoana ngeu! :whoo:

Kaka mimi mtu simple sana kama maji vile wala usiwe na wasiwasi na usalama wako wewe tu na roho yako
 
nitakuwepo huko naomba msinisahau kwenye msafara wenu
 
Mamito hapo no. 6 naomba maelezo tafadhali kabla my force per unit area haijashuka!!
Force per unit area =Pressure!
P=F/A, But from the fact that the area on which the force acts is quite big, then you should have a small pressure...(area is big coz of the long distance between Dar and Ar!..huh!)
 
PJ bana! si wewe ulitusisitiza tuonyeshe upendo,,caring,and hospitality???si wewe?hicho kilichofanyika ni kdgo sana huwezi linganisha na yatakayo fanyika kwa Kimey,,lol
 
Mamito hapo no. 6 naomba maelezo tafadhali kabla my force per unit area haijashuka!!

Usisikilize maneno ya watu swirry,wapo kutugombanisha!me and u only!haya anza kupaki nguo:hug:
 
Force per unit area =Pressure!
P=F/A, But from the fact that the area on which the force acts is quite big, then you should have a small pressure...(area is big coz of the long distance between Dar and Ar!..huh!)

Umeonaee?big up to my kiongozi
 
Lakini una shing' ngapi nikupe siri kwa PM?!
Chodechode mwenyekiti wangu usifanye hii biashara, mwache Kimey aje atoe maelezo kwanini alimwacha mrembo kama wiselady huku Arusha na asipotoa maelezo ya kulinidhisha nitaendelea na mchakato ilikukomesha vitabia vyao vya kuacha wake zao mikoa na kuenda kufanya biashara mikoa mingine...
 
Kaka polepole usimwage sana Kimey atanikaba kyandu si tulikubaliana kuwa yanaishia paolepale?
 
PJ bana! si wewe ulitusisitiza tuonyeshe upendo,,caring,and hospitality???si wewe?hicho kilichofanyika ni kdgo sana huwezi linganisha na yatakayo fanyika kwa Kimey,,lol
Ni kweli nilisema hivyo, lakini kuna wakati mlikuwa mnazidisha naniliu, hadi kuna time nikam'DIPU' Kimey..!
 
nitakuwepo huko naomba msinisahau kwenye msafara wenu

Chauro karibu sana dearest,,tutakulaki kwa kukuvisha shanga miguuni!basi hebu cheki na PJ kny PM kwa mawasiliano zaidi:A S-alert1:
 
Ni kweli nilisema hivyo, lakini kuna wakati mlikuwa mnazidisha naniliu, hadi kuna time nikam'DIPU' Kimey..!

Basi wewe kama kiongozi na mshenga,,,utanipa mwongozo kwa niaba ya Kimey.Sawa eee?haya hebu mpokee Chauro umpe siti
 
nitakuwepo huko naomba msinisahau kwenye msafara wenu

Meneja wangu Chauro,
Karibu sana...
Ishu hii ni wazi kwa wa-JF wote, vigezo na masharti kuzingatiwa.
NimekuPM kukupa mambo mbili-tatu..!
Love to you Mkuu!
 
Force per unit area =Pressure!
P=F/A, But from the fact that the area on which the force acts is quite big, then you should have a small pressure...(area is big coz of the long distance between Dar and Ar!..huh!)
hahaha Mkuu hapa itabidi ni apply "Jet Force", uki apply JET force distance inakua ndogo kwa saa!
PJ bana! si wewe ulitusisitiza tuonyeshe upendo,,caring,and hospitality???si wewe?hicho kilichofanyika ni kdgo sana huwezi linganisha na yatakayo fanyika kwa Kimey,,lol
hahaha thats my swirr, I have no more fear sasa!
Usisikilize maneno ya watu swirry,wapo kutugombanisha!me and u only!haya anza kupaki nguo:hug:
:kiss: ok worry not naanza kupaki sasa!
hahaha mkuu hapa nandaa malezo kabsaa kama page tano ivi!! maana nimeona madhara yake sasa!
 
Usisikilize maneno ya watu swirry,wapo kutugombanisha!me and u only!haya anza kupaki nguo:hug:
Anza kupaki nguo, ukifika stendi utujulishe, ili Derimto nae apaki nguo zake toka chumbani kwa WL,achape lapa kukupisha!...na utakapoondoka tutakusindikiza na kumpitia cRASHWISE, ajirudie zake hapo ghetto!
 
Mimi mwenyewe namshangaa...Ndio maana sijathubutu kusema wala kumwambia chochote juu ya mahusiano yenu ya KIMAPENZI na WL!
 
Anza kupaki nguo, ukifika stendi utujulishe, ili Derimto nae apaki nguo zake tokaa chumbani kwa WL,achape lapa kukupisha!...na utakapoondoka tutakusindikiza na kumpitia cRASHWISE, ajirudie zake hapo ghetto!

OMG! hii ni nini sasa????hivi unaweza kunikumbusha Derimto na Crashwise ndo wale watengeneza vibuyu vya shanga pale Engaruka?

PJ sidhani kama Kimey atapenda ile rangi ya shanga,,,fanya kucheki na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…