Mimi mwenyewe namshangaa...Ndio maana sijathubutu kusema wala kumwambia chochote juu ya mahusiano yenu ya KIMAPENZI na WL!
Usisikilize maneno ya watu swirry,wapo kutugombanisha!me and u only!haya anza kupaki nguo:hug:
Meneja wangu Chauro,
Karibu sana...
Ishu hii ni wazi kwa wa-JF wote, vigezo na masharti kuzingatiwa.
NimekuPM kukupa mambo mbili-tatu..!
Love to you Mkuu!
Mi kwa hali hii naona nije full package kabisa na mtu wangu......:embarrassed:
Hii ni optional zaidi..unaweza fanya hivyo au waweza pata kampani hukuhuku. shida ni kwamba hao wanamgombania WL kwasababu mume wake ni MZUNGU, na wanadhani watapata URITHI huyo mzungu akipatwa na lolote!!Mi kwa hali hii naona nije full package kabisa na mtu wangu......:embarrassed:
kaizer kaizer?how can u dare?????????
Hii ni optional zaidi..unaweza fanya hivyo au waweza pata kampani hukuhuku. shida ni kwamba hao wanamgombania WL kwasababu mume wake ni MZUNGU!
Ee Mungu naomba(kimey)asisome hapa. Nahitaji kupanda mlimani asap maana naona hali ya hatari. PJ niagie
Unamtaka na Kaizer tena?...gooosssshhh-ngufu-ya-mamba-iko-kumayi!!kaizer kaizer?how can u dare?????????
Why not Wise?
Hawana mapenzi wale...ila kwa wewe mkuu, wewe unajua kupenda bana...kama uliweza kuuza nyumba ya URITHI na ukaniagiza nimletee WL zile hela zote, kwakweli wewe mkuu wangu uko fit aisee!Mkuu PJ ina maana wapo kimaslahi zaidi? Siamini.....
Hii ni optional zaidi..unaweza fanya hivyo au waweza pata kampani hukuhuku. shida ni kwamba hao wanamgombania WL kwasababu mume wake ni MZUNGU, na wanadhani watapata URITHI huyo mzungu akipatwa na lolote!!
Hatasoma babe! Usijali Niko nawe akijidai shababi tu inakula kwake tena wa moshi wala hanisumbui kichwa
Uzuri ni kwamba dada Pelosi tulikuwa nae jana, na yeye amesomeshwa na hela ya mbege hadi hapo alipo, na uzuri mwingine ni kwamba anatengeneza MWENYEWE!...HIVYO ITAKUWEPO!asante waheshimiwa nshakaribia lakini sababu ntakuwa huko kwa ajili ya kuhesabiwa kile kinywaji chetu cha mbege msikisahau
Unamtaka na Kaizer tena?...gooosssshhh-ngufu-ya-mamba-iko-kumayi!!
Derimto na Crashwise na Mzungu na MZEE WA RULA watakumeza wewe...OHOOOOO!
Kwenye kikao cha usuluhishi sitakuwa mwenyeekiti mimi....!
Uzuri ni kwamba dada Pelosi tulikuwa nae jana, na yeye amesomeshwa na hela ya mbege hadi hapo alipo, na uzuri mwingine ni kwamba anatengeneza MWENYEWE!...HIVYO ITAKUWEPO!
hapo ndo nnapokupendea!!wanachotamani ni hivi vinyumba vya msonge ingekuwa za kisasa!!!
Oooh Virgin Mary, mother of Christ!..Hii habari mbona Baba Askofu hana taarifa nayo? U need my blessings guys...
Ngoja nicheki ratiba za Kanisa, I will get back to PJ
Oooh Virgin Mary, mother of Christ!..
Hivi mbona tulimtuma katekista Mateo, na akasema alimkuta sister Paulina na yule mpishi Dominiko...Wewe eti ulienda kwa mzee Fransisko kule Parokiani St. Gaspar kumpelekea sakramenti ya wagonjwa.
Lakini Mateo anasema alikuachia ujumbe wetu wa makaribisho!..
Karibu sana Askofu...safari yetu inahitaji sana sala ya rozari kila kituo tutakachosimama.