Looo!...Kuwa mpole wewe,,,,,utakaa na dreva ohooo
Looo!...
Kwani kukaa na dereva shida nini!..Umejuaje kama dereva si mwanamke!...Katika safari zote tulizoendaga porini Preta huwa analeta madereva wasichana saa saba kasoro!...utashangaa!
tutakuwa na longbase kama tisa hivi na zote zinatakiwa zijae....jamani jamani......
Sitaki kuamini kuwa sasa hivi uko na Derimnto!!!!!!!!!ntamuomba Preta kipindi hiki alete dreva wanaume
Nafikiri yoooooote kwisha. Safari imeiva. Sina haja ya kuja kesho tena. Mi nambieni tunahitaji nini. Ila lunch za naazi ziko poa.
Una kesi ya kujibu !tafuta wakili kabsa!njoo bana......kwa nini lakini
Ntakuja kwenye saa 11 hv. Ntawakuta wapi? Infact nitakuwa A town tangu mchana saa 8hv. Mengi tutaongea baadaye. Ila mwana hii miguu inauma balaa. Cjui ni mbuzi zinaanza kufanya kazi.njoo bana......kwa nini lakini
Usihofu mkuu!Una kesi ya kujibu !tafuta wakili kabsa!
Goooooosh!Preta akiwepo add me to the list too
Nafikiri yoooooote kwisha. Safari imeiva. Sina haja ya kuja kesho tena. Mi nambieni tunahitaji nini. Ila lunch za naazi ziko poa.
wiselady...orodhesha wale wote wanaokuchokoza.......nimetafuta gari la wazi watakaa huko na walivyo waoga na huko msituni kulivyo na tembo ndio watakoma....andbeyond wamenipatia hilo gari kwa ajili yao
Eeka Mangi tafadhali ks usikose,,na kwa taarifa yako tumeshakutengea kiti utakuwa karibu na mwenyekiti kwa mawili matatu.
Nawapata wapi sasa. In hour to come nitakuwa A town. Check PM kwa mawasiliano
Afadhali sipo kwenye list ya wanakusumbua inaimanisha mimi niko upande ule mwingine....Preta asante kwa kunijali,,,wasumbufu ni hawa wafuatao
1. PakaJimmy(chair)
2.Mzee wa Rula
3.Derimnto
4.Preta kdgo maana haleti madreva wa kike
Preta akiwepo add me to the list too
Hangaikeni mkimaliza mniambie utaalamu hautaki kelele namalizia majukumu machache ntarudi
Preta asante kwa kunijali,,,wasumbufu ni hawa wafuatao
1. PakaJimmy(chair)
2.Mzee wa Rula
3.Derimnto
4.Preta kdgo maana haleti madreva wa kike