Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Click kwenye jina lake hapo kushoto, kwenye drop down menu utaona sehemu imeandikwa Private Message, click, utakufungulia sehemu ya kuandika ujumbe....kisha click send....okayy....

Ubarikiwe
 
Mpaka sasa hivi PM box yangu haijani alert kwamba kuna new PM kutoka kwa hommie apo....napata za wengine tu!

Najua zangu huwezi ziona......ila za ile jinsia nyingine.
 
PakaJimmy, mbona I cant PM
Nataka kujoin, halafu nitamshawishi Freetown ajoin pia

MAelekezo please jinsi ya ku PM, I cant see the icon
Mkuu SaharaVoice,
Nisha kuPM tayari!
Kimsingi mkuu milango iko wazi kwako na Mkuu sana na Mheshimiwa Freetown(tena huyu mtu nimekuwa namsaka sana simpati, ni mtu wangu wa katibu sana)...
Basi we fanya kama nilivyokuelekeza kwenye PM mengineyo tutajulishana zaidi!
Karibu mkuu!
 
basi jamani wana arusha kwa niaba yangu,dadaake na asprin na mjombaake na asprin tunawatakia TRIP NJEMA,mi narudi kule BAE system very shortly
 
Mpaka sasa hivi PM box yangu haijani alert kwamba kuna new PM kutoka kwa hommie apo....napata za wengine tu!
hommie tuachane nae kabaila huyu....lets try other alternatives!
 
basi jamani wana arusha kwa niaba yangu,dadaake na asprin na mjombaake na asprin tunawatakia TRIP NJEMA,mi narudi kule BAE system very shortly

Usisahau leo tuna kikao pale kwenye mbege.
 
hommie tuachane nae kabaila huyu....lets try other alternatives!
kimey hebu ingia facebook dakika sifuri tu....(nataka nijue inaendeshaje hiyo tukutuku huku unasurf maanake usalule-dar ni parefu sana)
 
Back
Top Bottom