Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hommie huo uko pale pale,,,, Maty sina mawasiliano yake kwa sasa Ngoja nimwombe Asprin maane ndo alipokea mchango wake nahisi faili halijaika mezani kwangu amwombe atupokee pale makuti mida ya saa nne hivi Mungu jaalia...
Mkuu PJ naona umeanza mambo ya Weakleaks sasa haya bana!!:bump:Mkuu, shindwa mwenyewe,...WL sharti lake ni moja tu ukitaka kuwa nae karibu...Anataka pop-corn!
Ukimpa hizo mkuu ni 24/7 unammiliki!
Nguli kweli upo serious?
Basi tenda kama ulivyo nena
Naisubiri Director Mkuu!
Hommie unaanza kutoa siri za chama....Wapi collective agreement hapo?
Hakuna anayebisha, ndo maana nataka PJ aniambie hali ya hewa ikoje kule....Asprin is always there for Surprise.... Hebu ngoja nimkumbuke marehebu bibi yangu Mamshanga (RIP my dear wifey)
Mwokosi kasaliiiiwa, twimbe haleluyaaaa,
Mtukufu masiiiya twimbe haleluyaa,
Tumtukuse tumwimbie tumfanyie shangwe,
Mkombosi masiya leo amesaliwaaaaa,
Haleluya, haleluya haleluyaaaaa
(Hapo akiwa anapasi nguo zake mpya za kwenda misa ya kwanza)
tena sasa yuko hewani...mambo hazarani, hakuna kumPM
Mkuu PJ naona umeanza mambo ya Weakleaks sasa haya bana!!:bump:
hommie hebu PM number bana acha longolongo bili ya pale bila msaada itakua ngumu mimi na Pope kuimaliza!Hommie unaanza kutoa siri za chama....Wapi collective agreement hapo?
Hapa muda si mrefu nitaingia jikoni kuzitengeneza.....sema kuna vyengine navijua hajakupaga siri tu maana hawezi kusema yote mkuu...Pamoja sana yaani....
hommie hebu PM number bana acha longolongo bili ya pale bila msaada itakua ngumu mimi na Pope kuimaliza!
nasikitika sana kuikosa hii,lakin no bad
Mkuuunaibiwa bado unatoa thanx tena...:A S 109:
Du..Mkuu hii ni taarifa ya kiintelijensia!...Hakuna anayebisha, ndo maana nataka PJ aniambie hali ya hewa ikoje kule....Asprin is always there for Surprise.... Hebu ngoja nimkumbuke marehebu bibi yangu Mamshanga (RIP my dear wifey)
Mwokosi kasaliiiiwa, twimbe haleluyaaaa,
Mtukufu masiiiya twimbe haleluyaa,
Tumtukuse tumwimbie tumfanyie shangwe,
Mkombosi masiya leo amesaliwaaaaa,
Haleluya, haleluya haleluyaaaaa
(Hapo akiwa anapasi nguo zake mpya za kwenda misa ya kwanza)