Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Click kwenye jina lake hapo kushoto, kwenye drop down menu utaona sehemu imeandikwa Private Message, click, utakufungulia sehemu ya kuandika ujumbe....kisha click send....okayy....
nakutafuta.....hebu njoo nionyeshe ilipo tai yangu?
Vipi mpwa usha do the needful kwenye logistics?
Mpaka sasa hivi PM box yangu haijani alert kwamba kuna new PM kutoka kwa hommie apo....napata za wengine tu!
Ubarikiwe
Hommie umeshakagua hapo napo ama bado?
Hommie mdogomdogo...nshakwambia bado sijamaliza ile kazi. Unataka kuwa kama Kimey?
Najua zangu huwezi ziona......ila za ile jinsia nyingine.
Karibu sana mkuu....see you huko huko AR.....Ashenale!
Mkuu SaharaVoice,PakaJimmy, mbona I cant PM
Nataka kujoin, halafu nitamshawishi Freetown ajoin pia
MAelekezo please jinsi ya ku PM, I cant see the icon
hommie sasa si afadhali miye...we unaona missed call za jinsia nyengine tu na hivi ulivowasevu kwa majina ya kiume.....LOL:bump:
hommie tuachane nae kabaila huyu....lets try other alternatives!Mpaka sasa hivi PM box yangu haijani alert kwamba kuna new PM kutoka kwa hommie apo....napata za wengine tu!
nakutafuta.....hebu njoo nionyeshe ilipo tai yangu?
basi jamani wana arusha kwa niaba yangu,dadaake na asprin na mjombaake na asprin tunawatakia TRIP NJEMA,mi narudi kule BAE system very shortly
kimey hebu ingia facebook dakika sifuri tu....(nataka nijue inaendeshaje hiyo tukutuku huku unasurf maanake usalule-dar ni parefu sana)hommie tuachane nae kabaila huyu....lets try other alternatives!
Usisahau leo tuna kikao pale kwenye mbege.
Wana JF wa Arusha nawapa big up sana kwenye hili kusema kweli,,,,,,,msishangae wasafiri tukaongezeka ningeomba Preta aweke contigency ya long base nyingine.....
Hommie, naitafuta Same hapa.....
hommie tuachane nae kabaila huyu....lets try other alternatives!
NA ZILE NGUO ZA TEAMO ULIZOCHUKUA KUZIFUA ndo inakuwaje sasa?