Jf-arusha wing...safari updates

basi jamani wana arusha kwa niaba yangu,dadaake na asprin na mjombaake na asprin tunawatakia TRIP NJEMA,mi narudi kule BAE system very shortly

Mkuu, vipi ile EKSCHUZI yako bado iko valid?..
Usikute Baba Askofu kasafiri na ameahirisha UBATIZO WA WATOTO WACHANGA!
 
PJ nini lkn???hebu tulia basi ntakupa something...
What is that SOMETHING??..sitaki mimi bana..sitaki matatizo na rafiki zangu ooooh!...i dont like it'oooo!, idont want it'ooooo!
 
kimey hebu ingia facebook dakika sifuri tu....(nataka nijue inaendeshaje hiyo tukutuku huku unasurf maanake usalule-dar ni parefu sana)
Noted mbona kamwezi kapo nusu inaonyesha haupo active!
 
mpaka saa hii long base zipo 12....tayari kuongezeka zaidi
Wape ishu mamaa la logistics....Huyo Asprin ni mbishi sana haamini kazi yako..Ngoja aone mwenyewe hiyo siku!
 
aisee PIIJEI hapo juu samahani kidogo nimeona kama TEAMO ametajwa hapo na kahusishwa na WL,vipi kunanini?(mimi ni mrs teamo,nimetumia aidii ake)
 
aisee PIIJEI hapo juu samahani kidogo nimeona kama TEAMO ametajwa hapo na kahusishwa na WL,vipi kunanini?(mimi ni mrs teamo,nimetumia aidii ake)

hhahahahahaahaahaahah jamani hivi krismas ndo inakuja hivi eeh?
 
aisee PIIJEI hapo juu samahani kidogo nimeona kama TEAMO ametajwa hapo na kahusishwa na WL,vipi kunanini?(mimi ni mrs teamo,nimetumia aidii ake)
Goooooooshhhh!
Nimeuwa, na pia nimeuwawa!
Samahani Mrs Teamo...WL ni kijiji kimoja kule Iringa vijijini, huwa mimi na TEAMO TUNApelekaga zao moja linaitwa ngwara!
 
aisee PIIJEI hapo juu samahani kidogo nimeona kama TEAMO ametajwa hapo na kahusishwa na WL,vipi kunanini?(mimi ni mrs teamo,nimetumia aidii ake)
nAOMBA NIULIZE SHEMEJI..KWANZA POLE NA UZAZI...Kwani teamo alikwambia ana wake wangapi?
Nauliza tu, sitaki mgombane!...wewe ni yule wa kule Kitunda Kivule?
 
nAOMBA NIULIZE SHEMEJI..KWANZA POLE NA UZAZI...Kwani teamo alikwambia ana wake wangapi?
Nauliza tu, sitaki mgombane!...wewe ni yule wa kule Kitunda Kivule?
@piiijeii inatosha bana wee (MIMI G MWENYEWE SASA)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…