PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
- Thread starter
- #561
goosh..Dont tell me...but yeye ni rahisi kumdhibiti...anapenda sana kahawa, kwahiyo kazi ya kamati yangu ni kumjazia kwenye mug lake, mara siku imeisha... kwishneySasa hapo ndipo unapokosea sasa, manake huyo mheshimiwa ndo baraa bin baraa. Atakunyakulia kamati nzima. Usije ukasema sikukuonya.