Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Sasa hapo ndipo unapokosea sasa, manake huyo mheshimiwa ndo baraa bin baraa. Atakunyakulia kamati nzima. Usije ukasema sikukuonya.
goosh..Dont tell me...but yeye ni rahisi kumdhibiti...anapenda sana kahawa, kwahiyo kazi ya kamati yangu ni kumjazia kwenye mug lake, mara siku imeisha... kwishney
 
Ashaacha mambo hayo Acid...siku hizi ni wa Grand Malt kama mimi!
m/kiti ucje uka2wekea hizo grand malt as cold drinks asee hiyo glandi ongesa s mbele mi ndo nakunywaga iandaliwe
 
m/kiti ucje uka2wekea hizo grand malt as cold drinks asee hiyo glandi ongesa s mbele mi ndo nakunywaga iandaliwe
Kwa hiyo unamaanisha grants sio?
Hizo ni mingi kishenzi...utazikimbia!
We confirm kuja tu!
 
m/kiti ucje uka2wekea hizo grand malt as cold drinks asee hiyo glandi ongesa s mbele mi ndo nakunywaga iandaliwe

mambo ndio yameshaiva huku....vipi bibie....
 
Safari imeiva sasa tupo Makuyuni tunasubiri convoy iliyopo nyuma yetu, by Freetown&Saharavoice
 
Safari imeiva sasa tupo Makuyuni tunasubiri convoy iliyopo nyuma yetu, by Freetown&Saharavoice

mkuu punguzeni mwendo. shida ya Saharavoice akipata zile teamo-brand anatembea spidi mbaya.
 
Jamani kazi nzuri. safari ilikuwa boooooombaaaa. c u. Thanx
 
Nipo kijijini .....I wish I was informed much earlier.......................................
 
mambo yalikuwa poa sana, ni matumaini yangu wote mlifika salama baada ya kutawanyika pale Hotelini, nawatakia siku njema wote mliokuwepo na wote wanaofatilia hii thread
 
Ruta ana mikwara bana...kuna waliopata habari late kuliko yeye, na wakarespond very positively!
The good news is ................there is always next time...........................no hassles..................
 
Back
Top Bottom