Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Mpangp ni huo broda...
We rudi Bongo kwanza tuongee kwa ukaribu!
In togetherness nothing will be impossible ever.

Ngoja nisikilizie mpango mtaupangaje . . .
Then I will see what to decide on this
 
natamani sana members tujuane kwa sura nitacheka sana siku hiyo hasa kwa majina ya utani tunayotumia humu yaani itakua kituko sana
Ngoja nisikilizie mpango mtaupangaje . . .
Then I will see what to decide on this
 
natamani sana members tujuane kwa sura nitacheka sana siku hiyo hasa kwa majina ya utani tunayotumia humu yaani itakua kituko sana

ni wewe tu na roho yako.....watu huwa tunakutana......na huwa tunacheka to the maximum.......
 
Next week nakuja Arusha kwa ajili ya mapumziko nipokeeni.
 
hahaha hii ya sasa ni Kolabo inayokuja ! lazima tuchonge kinyago

ha ha.ha.....kuna kile kinyago cha kimakonde wanakiita shetani.....sijui kama mtakiweza......kiko hivi....
makonde.JPG

 
Preta;ha ha.ha.....kuna kile kinyago cha kimakonde wanakiita shetani.....sijui kama mtakiweza......kiko hivi....
http://1.bp.blogspot.com/-NVSZtN7VL8c/UDvStiFT0eI/AAAAAAAALnQ/ZkUzej1KrHg/s640/makonde.JPG[/
Nauliza huyu ndiye shetani [USER=20103]Preta[/USER]?I
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom