Jf awards (nominees)

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Bandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.

Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake, nyuzi zake zinahusu nini!
Kura zitapigwa na wana jf wenyewe hapa hapa!

1:mwanamichezo bora
-Okwi boban sunzu.
-Ndumbula ndema
-king ngwaba
-Don crelicuzio(huyu jina lake gumu)
-gentamycim (mwite popoma tu)

2-mchangamsha genge bora
-zero IQ
-Demiss
-ndege John

3-jukwaa la celebrity (wambeya bora)
-Warumi
-hance mtanashati
-Numbisa
-Raynavaro
-msaga sumu

4-jukwaa la chini
-msafwa
-castr
-bugeraha
-jestikila

5-jukwaa la siasa
-britanicca
-paschall mayala
-jinga lao
-malcom lumumba

6 jukwaa la mahusiano
-cute love
-mama Debora
-mrs mol

7 jukwaa la Tech &science
-chief mkwawa
(anayetaka kumchalenge aje)

8 mwana jf mpole
-mshana jr
-Paschal mayala
-khantwe
-lucas Mobutu
-madam s
-sky eclat

9 sangoma bora
-mshana jr
-Likud
-mzizi mkavu

10 bishoo wa jf
-fundi bishoo
-beira Boy
-prince mikazo
-pancho Boy (kujikubali muhimu) πŸ˜‚

Wengine mnaruhusiwa kuongezea.

Kura zinaaanza kupigwa mwisho ni Leo saa sita usiku.
Washindi watatangazwa hapa baada ya kura kuhesabiwa..

That's how we do
 
Lazima nikutoe usiku leo

Hivi ulimwambia yule mtu nini?manake jana kalike comment yangu kwa mara ya kwanza nimefurahiiii ila nikasema imekuwaje nimesalitiwa mapema hivi?
Sawa ngoja nijiparee. Hahaha nimecheka, sijamwambia hata kwani si atakuwa aliona tunavyoongea hapa akaona ya nini aendelee kukutesa mtoto wa kike wakati wengine hii bahati wanaililia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…