Jf awards (nominees)

Nili mswanu kwakwel kam wasemavyo wagogo.. [emoji23][emoji23]
Heri na kwenu pia. Tusherehekee kumbukizi ya kufufuka kwa Bwana wetu [emoji5][emoji5][emoji5]
Hallelujah
 
Ewaaaa tuzo nimeshaikamata tayari mkuu
 
Jamani....
Mie kakorofi kidogo kaka...
Nimekuhamu ujue, heri ya pasaka!

Iceman 3D kapotelea wapi jamani, nammiss sana!
Nawe pia heri ya pasaka. Iceman 3D yupo, na amekumiss pia (ujumbe wako ameupata).

Hope uko poa kabisa, unakula bata za skukuu
 
Nawe pia heri ya pasaka. Iceman 3D yupo, na amekumiss pia (ujumbe wako ameupata).

Hope uko poa kabisa, unakula bata za skukuu
Jamani jamanii...
Yupo wapi eti, mimi nammiss sana ujue!

Msalimie sana jamanii, mie niko poa kabisaaa! Hofu kwako mkaka uliye mbali na upeo wa macho yangu!
 
Aisee kweli mie bado mgeni jf, hao wa mahusiano hata siwajui. Ni hii hii mmu au kuna jukwaa la mahusiano silijui?

Khantwe na ukivuruge wote huo eti ni mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nawe pia heri ya pasaka. Iceman 3D yupo, na amekumiss pia (ujumbe wako ameupata).

Hope uko poa kabisa, unakula bata za skukuu
Iceman 3D anatuzoom na id nyinginee...mwambie namtafuta sana na ujumbe wake akiona hii msg
 

Kushinda kote MMU sijawahi kuona hizo ID

Ama kachanganya kawatoa siasani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…