Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Changamsha genge nampa Zero IQ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HallelujahNili mswanu kwakwel kam wasemavyo wagogo.. [emoji23][emoji23]
Heri na kwenu pia. Tusherehekee kumbukizi ya kufufuka kwa Bwana wetu [emoji5][emoji5][emoji5]
Ewaaaa aiseeeee hicho kitengo ni noma wanitangaze mshindi tuKura zangu ziende kwa wafuatao:
Celebrity forum Hance Mtanashati
Jukwaa la siasa britanicca
Mchangamfu wa jf Zero IQ
Mpole wa jf kwa ME Iceman 3D
Mpole wa jf kwa KE Sakayo
Jukwaa la mahusiano Shunie
Ewaaaa tuzo nimeshaikamata tayari mkuu1-Okwi
2-Zero iQ
3-Warumi
4-castr (anaesbo sjui,sjui kwa nn kakosa kua nominated)
5-paschal mayala
6-yyte tu,maana hta kua kwnye mahusiano sipo
7-chief mkwawa (akipita hapa nna ka swali,anapajua kikombwe)
8-paschal mayala (angalia anavyowajibugi wanao mmisquote,very kind
9-mshana,kna jamaa wa astro projection u esahau kum nominated
10-mabishoo watajipigia kura #teamMarioo[emoji23].
Personal award nampa dada mmoja hv,km ni serikali,minister without portfolio nampa Numbisa
Ewaaa madam wangu bado hatujamalizana kule PMChangamsha genge nampa Zero IQ
Hhh jamaa wewe ni creative sana.big up mkuuEwaaaa tuzo nimeshaikamata tayari mkuu
Asante sana mkuuuHhh jamaa wewe ni creative sana.big up mkuu
Jamani....Kura zangu ziende kwa wafuatao:
Celebrity forum Hance Mtanashati
Jukwaa la siasa britanicca
Mchangamfu wa jf Zero IQ
Mpole wa jf kwa ME Iceman 3D
Mpole wa jf kwa KE Sakayo
Jukwaa la mahusiano Shunie
Nawe pia heri ya pasaka. Iceman 3D yupo, na amekumiss pia (ujumbe wako ameupata).Jamani....
Mie kakorofi kidogo kaka...
Nimekuhamu ujue, heri ya pasaka!
Iceman 3D kapotelea wapi jamani, nammiss sana!
Jamani jamanii...Nawe pia heri ya pasaka. Iceman 3D yupo, na amekumiss pia (ujumbe wako ameupata).
Hope uko poa kabisa, unakula bata za skukuu
Au ndo weyeee[emoji23][emoji23]
Mimi na my bro, wote tupo poa kabisaJamani jamanii...
Yupo wapi eti, mimi nammiss sana ujue!
Msalimie sana jamanii, mie niko poa kabisaaa! Hofu kwako mkaka uliye mbali na upeo wa macho yangu!
Yupo wapi eti. Nataka nimsemeshe mimi!Mimi na my bro, wote tupo poa kabisa
Aisee kweli mie bado mgeni jf, hao wa mahusiano hata siwajui. Ni hii hii mmu au kuna jukwaa la mahusiano silijui?
Khantwe na ukivuruge wote huo eti ni mpole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]