Jf awards (nominees)

Jf awards (nominees)

Hehe huezi jua ndo ulikua mbadala wa id yake kabla hajapotea na ile...natania lakn

Apa anatusomaa tu
Hahaha hahaha hahaha
Nakumbuka kuna kipindi walikuwa wakigombana kabisaaa!!

Ila ya humu nayo mengi ujue! Akuje tuu atusalimie jamanii...

Anatusoma kimya kimya, hatuonei huruma tunavyommiss eti?!
 
Bishoo bora nakalisha ote Babaako!!Me napiga vitu dunia ya elfu18 ariff,Nikiweka vitu vinakaa sema tu Bongo bahati mbaya,Machalii ote hao kina pancho boy,Fundi bishoo sijui beira wanaangalia kwangu,Waaooow me.
 
Bandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.

Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake, nyuzi zake zinahusu nini!
Kura zitapigwa na wana jf wenyewe hapa hapa!

1:mwanamichezo bora
-Okwi boban sunzu.
-Ndumbula ndema
-king ngwaba
-Don crelicuzio(huyu jina lake gumu)
-gentamycim (mwite popoma tu)

2-mchangamsha genge bora
-zero IQ
-Demiss
-ndege John

3-jukwaa la celebrity (wambeya bora)
-Warumi
-hance mtanashati
-Numbisa
-Raynavaro
-msaga sumu

4-jukwaa la chini
-msafwa
-castr
-bugeraha
-jestikila

5-jukwaa la siasa
-britanicca
-paschall mayala
-jinga lao
-malcom lumumba

6 jukwaa la mahusiano
-cute love
-mama Debora
-mrs mol

7 jukwaa la Tech &science
-chief mkwawa
(anayetaka kumchalenge aje)

8 mwana jf mpole
-mshana jr
-Paschal mayala
-khantwe
-lucas Mobutu
-madam s
-sky eclat

9 sangoma bora
-mshana jr
-Likud
-mzizi mkavu

10 bishoo wa jf
-fundi bishoo
-beira Boy
-prince mikazo
-pancho Boy (kujikubali muhimu) 😂

Wengine mnaruhusiwa kuongezea.

Kura zinaaanza kupigwa mwisho ni Leo saa sita usiku.
Washindi watatangazwa hapa baada ya kura kuhesabiwa..

That's how we do
mkuu asante sana kwa kuniona , kumbe na mimi JF ni maarufu
 
Back
Top Bottom