Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sidhani kama ndo yeye!Au ndo weyeee[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama ndo yeye!Au ndo weyeee[emoji23][emoji23]
Hehe huezi jua ndo ulikua mbadala wa id yake kabla hajapotea na ile...natania laknSidhani kama ndo yeye!
Hahaha hahaha hahahaHehe huezi jua ndo ulikua mbadala wa id yake kabla hajapotea na ile...natania lakn
Apa anatusomaa tu
Tutakuwa wageni humu.Kushinda kote MMU sijawahi kuona hizo ID
Ama kachanganya kawatoa siasani??
Ooohooo..!!10.bishoo nakupa wewe Pancho boy
Ila angalia haters watakuja kusema ndege John kafungua Uzi huu kwa ID yake nyingine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Neybright nae kapotea sanaa sijui ndo anamlea
[emoji87]kumbee ndo mana kapotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ney analea, itakuwa wako busy na kulea.
Mimi hoiNauza bagia !
Aliyepata matokeo ya liverpool na spain anipe tafadhalMimi hoi
baby kuna nini ? kuna mtu amesema mi mpole ?lucas mobutu ebu kuja pande hii una upole gani jamani we mtu
mkuu asante sana kwa kuniona , kumbe na mimi JF ni maarufuBandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.
Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake, nyuzi zake zinahusu nini!
Kura zitapigwa na wana jf wenyewe hapa hapa!
1:mwanamichezo bora
-Okwi boban sunzu.
-Ndumbula ndema
-king ngwaba
-Don crelicuzio(huyu jina lake gumu)
-gentamycim (mwite popoma tu)
2-mchangamsha genge bora
-zero IQ
-Demiss
-ndege John
3-jukwaa la celebrity (wambeya bora)
-Warumi
-hance mtanashati
-Numbisa
-Raynavaro
-msaga sumu
4-jukwaa la chini
-msafwa
-castr
-bugeraha
-jestikila
5-jukwaa la siasa
-britanicca
-paschall mayala
-jinga lao
-malcom lumumba
6 jukwaa la mahusiano
-cute love
-mama Debora
-mrs mol
7 jukwaa la Tech &science
-chief mkwawa
(anayetaka kumchalenge aje)
8 mwana jf mpole
-mshana jr
-Paschal mayala
-khantwe
-lucas Mobutu
-madam s
-sky eclat
9 sangoma bora
-mshana jr
-Likud
-mzizi mkavu
10 bishoo wa jf
-fundi bishoo
-beira Boy
-prince mikazo
-pancho Boy (kujikubali muhimu) 😂
Wengine mnaruhusiwa kuongezea.
Kura zinaaanza kupigwa mwisho ni Leo saa sita usiku.
Washindi watatangazwa hapa baada ya kura kuhesabiwa..
That's how we do
my love, mimi ni mpole mno, ndo maana kila siku nakwambia mimi ni husband materiallucas mobutu ebu kuja pande hii una upole gani jamani we mtu
Mhhh hii ngumu kumeza.!!Aliyepata matokeo ya liverpool na spain anipe tafadhal
Pamoja mkuuKura zangu ziende kwa wafuatao:
Celebrity forum Hance Mtanashati
Jukwaa la siasa britanicca
Mchangamfu wa jf Zero IQ
Mpole wa jf kwa ME Iceman 3D
Mpole wa jf kwa KE Sakayo
Jukwaa la mahusiano Shunie