JF Chat: All members chat

Zote mkuu kikubwa upate pesa pia professional nao wanapiga kazi za kawaida tu mda wa ziada
Hapo nimekusoma mkuu. Incase of anything nitakuuliza zaidi maana nategemea maybe baada ya miaka kadhaa nisepe kidogo maana wasifu wangu sitaki uje kusomwa, alizaliwa morogoro na kufia kahama

Exposure muhimu
 
Ukienda usiniache! Twende wotee mimi sitaki kuzaa watoto weusi nimechoka joto pia na vumbi
 
Yes! πŸ˜‚
Alisema mengi muhimu wewe ni mtu mzuri nikiongea sana itakua umbeaπŸ˜‰
Nilijua tu kahusika maana umeiongea kwa confidence kama unanijua vizuri..

Yote kwa yote. Shukrani sana kwa compliment binti wa Yesu πŸ˜ŠπŸ™πŸ½
 
Unataka kusemaje asee ephen kwamba sisi black ukituangalia huoni reflection ya watoto wako 😁
Nataka hata wakiwa weusi baba yao awe anaishi nje sio Bongo kwa mafisadi
 
Sio hivyo wanaona tuna heshima na maadili.
Hii ni mara ya kwanza naisikia japo kwa USA hiyo ni compliment wanapewa black Africans ukitoa Nigerians.

Black Americans humko twitter wanadharau sana Africans japo huwa inawauma Africans kuwa successful kuwazidi kwa kiasi flani kwenye ardhi yao
 
Kwa hiyo ephen kachafukwa😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…