Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Hapo nimekusoma mkuu. Incase of anything nitakuuliza zaidi maana nategemea maybe baada ya miaka kadhaa nisepe kidogo maana wasifu wangu sitaki uje kusomwa, alizaliwa morogoro na kufia kahamaZote mkuu kikubwa upate pesa pia professional nao wanapiga kazi za kawaida tu mda wa ziada
Exposure muhimu