JF Chat: All members chat

Kabisa maana kufikisha masaa 4000 ya kutazamwa na ukijumuisha si mtu/channel maarufu hapo ndipo Kimbembe kilipo.
Mpaka sasa najua ushaanza nusanusa..πŸ˜€
 
Thanks.. binafsi napenda za kisayansi mi anga nini tafuta life, gravity na the Martian.
Ooh vyema
Napenda za
Comedy , Drama, Fantasy, Horror, Mystery,Romance na Thriller.
 
Ooh vyema
Napenda za
Comedy , Drama, Fantasy, Horror, Mystery,Romance na Thriller.
Karibu kwenye ulimwengu wa sci-fi pia ila hizo ni zile zinaektiwa in fiction lakini ambazo wanaangalia ktk mazingira husika vitu vina behave vipi..
 
Karibu kwenye ulimwengu wa sci-fi pia ila hizo ni zile zinaektiwa in fiction lakini ambazo wanaangalia ktk mazingira husika vitu vina behave vipi..
Ooh thank you
Hizo pia ni nzuri
 
Nikipata muda nitazicheki ngoja nisevu majina nikizipenda sanaa jiandae kutemeshwa majina ya movie Kila siku..πŸ˜‚
Kama unapenda comedy utapenda Carol's second Act maana inachekesha , four weddings yenyewe ni nzuri inaelezea uhusiano katika marafiki wanavyoishi na hata Alita ni kama sci-fi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…