JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Can't tell me upo humu kwaajili tu ya kupoteza muda!.. kipo haswa kilichokuvuta humu..
Najifunza mengi pia hicho ndo kilinivutia humu sana .
Mchana ndo nashinda humu sana ili muda ukimbie nabadilisha apps tu .
 
Happiest Birthday mdogo wangu mzuri ila mkorofi KENZY Mungu azidi kukutunza daima..!!

Bora wewe umekula ugali, nakula viazi mbatata vilivyokaangwa na vinyama vidogo vidogo ambavyo sina hakika hata kama ni vya ng'ombe, shida ni kuwa nimejaziwa pilipili kama nakomolewa, niko hapa nalia lakini siachi..

Depal
Ungeenda kula kwa mama Claree unadhani hayo yangekukuta? 😅😅
Shida hizo za kujifanya unaenda kula Regency Hotel….
Polee, safiiii, komaa 💃💃
 
Back
Top Bottom