Sasa siuseme ili nikufundishe😉Mimi nakucheza wapi na wapi😁😁😁
Nmeshazeeka utanivunja mgongoSasa siuseme ili nikufundishe😉
Acha uoga! 😂Nmeshazeeka utanivunja mgongo
Uongo upi sasaAcha uoga! 😂
Ukilewa usichat na wewe! 😂Uongo upi sasa
Naangalia movie kwenye pcUlikua wapi enzo akee?
Huyu jamaaa aliimbaga na Nast c Ngoma inaitwa sad project ya koka studio
Nyimbo nzuri sana hii 😎😎
Nyimbo kama hii inahitaji uwe na mchumba pembeni
Naunga mkono hojaNyimbo kama hii inahitaji uwe na mchumba pembeni
Mkeo yupo au umemtimua?Naunga mkono hoja
Tumezinguana kaenda kwao kukaaMkeo yupo au umemtimua?
Ningeshangaa kama ungesema yupo! Wewe nakujua ni kisiraniTumezinguana kaenda kwao kukaa
Ila R.Kelly alimzungumzia mwanamke wa miaka ya 80 kurudi nyuma
Wapo sana ephenIla R.Kelly alimzungumzia mwanamke wa miaka ya 80 kurudi nyuma
Sasa hivi hakuna mtu anayependa kiasi hiko😂💔
Upendo haujawahi kubadilika na wala haujifichi .Ila R.Kelly alimzungumzia mwanamke wa miaka ya 80 kurudi nyuma
Sasa hivi hakuna mtu anayependa kiasi hiko😂💔