Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1 kati ya 10😉Wapo sana ephen
Wewe ni timu KATAA NDOA, mambo ya upendo umeyajulia wapi?🤔Upendo haujawahi kubadilika na wala haujifichi .
Hakuna binadamu asie penda , sema nini uchungu wa maumivu huwa unaendana na kiasi cha upendo ulio utoa 😁😁Wewe ni timu KATAA NDOA, mambo ya upendo umeyajulia wapi?🤔
Vincenzo Jr min me kaachwa nini? Mbona anatoa risala😂Hakuna binadamu asie penda , sema nini uchungu wa maumivu huwa unaendana na kiasi cha upendo ulio utoa 😁😁
Mapenzi yanaumiza sanaVincenzo Jr min me kaachwa nini? Mbona anatoa risala😂
Kawaida tu 😂😁Matusi🙄
Kweli kabisa! Unaweza kukonda kama mgonjwa wa ukimwi asiyetumia dawa😂Mapenzi yanaumiza sana
Kweli kabisa! Unaweza kukonda kama mgonjwa wa ukimwi asiyetumia dawa😂
😂😁😁Hii ataisikiliza min me cz inaonekana kuna dada kamfanyia kitu sio kizuri