Ngoma kalii!π Nani huyo anakutesa min akee! Nipe kazi nikarudishe moyo wake nyumaπSikiliza ngoma hiyo π€£
πΆManeno matamu ulionipa chumbani
Angalia usijiue kisa mapenzi!π£ Vincenzo Jr njoo tumfariji min akee
ππππππ Khaa! Wanawake wapo wengi usimng'ang'anie huyo anayekupa headache
Nimemuona binti kiziwiβΊοΈ
πΆManeno mengi wanasema juu yako
Wazee tunaujua mziki na mapenzi sio nyie chomeka aaaawh sijui nikupakie mkongo , π π ππΆManeno mengi wanasema juu yako
Eti kuna kitu honey umenifanyia
Mganga sio sababu mimi kuja kwako
Ila mi mwenyewe moyoni nimekuchagua
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako
Kama ni gari ndio mapenzi yawe tight
MB Dogg man mi nishalinunua
Kama salamu honey we ukini-miss
Ni-beep baby mi nitakupigia
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yakoπΆ
πβΊοΈHii nyimbo inahitaji uwe kwenye strong relationship
Mmmh! Sasa hapa unajipigia promoπ kuna mtu ataibiwa muda si mrefuπWazee tunaujua mziki na mapenzi sio nyie chomeka aaaawh sijui nikupakie mkongo , π π π
Niambie inahusu nini sijaisikiliza
MhmmmNiambie inahusu nini sijaisikiliza
Nipe intro mchina wanguMhmmm
Nani anaenda kupelekewa moto?π€Kuna mwenye karanga na mihogo hapa
Zina mahusiano gani na moto? πNani anaenda kupelekewa moto?π€
Kama mkongo tu! Demu mwenyewe anakimbia anaweza kusahau hata kyupiZina mahusiano gani na moto? π
Ebu njoo nazo uje unifundishe kitu πKama mkongo tu! Demu mwenyewe anakimbia anaweza kusahau hata kyupi