JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat


🎶Maneno mengi wanasema juu yako
Eti kuna kitu honey umenifanyia
Mganga sio sababu mimi kuja kwako
Ila mi mwenyewe moyoni nimekuchagua
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako
Kama ni gari ndio mapenzi yawe tight
MB Dogg man mi nishalinunua
Kama salamu honey we ukini-miss
Ni-beep baby mi nitakupigia
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako🎶

🙌☺️Hii nyimbo inahitaji uwe kwenye strong relationship
 
🎶Maneno mengi wanasema juu yako
Eti kuna kitu honey umenifanyia
Mganga sio sababu mimi kuja kwako
Ila mi mwenyewe moyoni nimekuchagua
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako
Kama ni gari ndio mapenzi yawe tight
MB Dogg man mi nishalinunua
Kama salamu honey we ukini-miss
Ni-beep baby mi nitakupigia
Nakutafuta nione sura yako
Nakutamani niwe karibu yako🎶

🙌☺️Hii nyimbo inahitaji uwe kwenye strong relationship
Wazee tunaujua mziki na mapenzi sio nyie chomeka aaaawh sijui nikupakie mkongo , 😅😅😅
 
Back
Top Bottom