Hiyo miaka 27 ndio mzee?π€Toroka uje haraka, sisi ndio wazee tuliobaki hapa duniani tunaojua kulea π
πPunguza makasiriko basi! Umekula?Toroka nikuueππ
Miaka hii 72 si mchezo, naogopa nisije tu nikafia palee juu jukwaani πHiyo miaka 27 ndio mzee?π€
Wewe lazima ufie pale! Story zako zote ni mizagamuano utajenga kweli?Miaka hii 72 si mchezo, naogopa nisije tu nikafia palee juu jukwaani π
Leo una kisirani sana!! Unamuaibisha huyo handsome man hapo kwa avatar yako ujue!πToroka nikuueππ
ππPunguza makasiriko basi! Umekula?
Nguvu unazo za kupigana?π€π
Ndio maana nimekuja kwako angalau nijenge ata kibanda cha kujifichaWewe lazima ufie pale! Story zako zote ni mizagamuano utajenga kweli?
Eeeh! Kumbe kuna mitongozo hapa!π€Ndio maana nimekuja kwako angalau nijenge ata kibanda cha kujificha
Sifa ya mrembo ni kupewa mistari, hapo vipi πEeeh! Kumbe kuna mitongozo hapa!π€
Bado sana! Ni 1.7/10Sifa ya mrembo ni kupewa mistari, hapo vipi π
Naogopa kuweka mistari mizito, utashindwa kutembea πBado sana! Ni 1.7/10
Vijana wa siku hizi hamuwezi mitongozoNaogopa kuweka mistari mizito, utashindwa kutembea π
Aya ebu shusha mistariVijana wa siku hizi hamuwezi mitongozo
Mimi ningekua mwanaume, wadada wangenielewa chapAya ebu shusha mistari
Ki vipi? ebu shusha mistari tuipime kama ina vigezoMimi ningekua mwanaume, wadada wangenielewa chap