JF Chat: All members chat

Nitaangalia aisee , mfano Titanic nimeirudia weh ..
Hiyo inatisha siwezi kuiangalia kabisa .
Hii sijairudia kitambo mi najikuta napenda za kivita Rambo first blood n.k
Kihindi nayoikubali ni koira ya sharukani jina lake rekebisha wewe..πŸ˜‚
 
Hii sijairudia kitambo mi najikuta napenda za kivita Rambo first blood n.k
Kihindi nayoikubali ni koira ya sharukani jina lake rekebisha wewe..[emoji23]
Kuch kuch hotae hii nilipenda sana jamani [emoji23] sasa hivi siangalii za kihindi kabisa .. Hollywood hii imetubadilisha wengine .
 
Kuch kuch hotae hii nilipenda sana jamani [emoji23] sasa hivi siangalii za kihindi kabisa .. Hollywood hii imetubadilisha wengine .
Pamoja na umaarufu wa hiyo muvi sijawahi kuiangalia ila nachi yake nilikuwa naijua mwanzo mwisho..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…