Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sijairudia kitambo mi najikuta napenda za kivita Rambo first blood n.kNitaangalia aisee , mfano Titanic nimeirudia weh ..
Hiyo inatisha siwezi kuiangalia kabisa .
Kuch kuch hotae hii nilipenda sana jamani [emoji23] sasa hivi siangalii za kihindi kabisa .. Hollywood hii imetubadilisha wengine .Hii sijairudia kitambo mi najikuta napenda za kivita Rambo first blood n.k
Kihindi nayoikubali ni koira ya sharukani jina lake rekebisha wewe..[emoji23]
Pamoja na umaarufu wa hiyo muvi sijawahi kuiangalia ila nachi yake nilikuwa naijua mwanzo mwisho..๐Kuch kuch hotae hii nilipenda sana jamani [emoji23] sasa hivi siangalii za kihindi kabisa .. Hollywood hii imetubadilisha wengine .
Why?Null
Si ulaleHaya sasa zamu yangu ya kuchat. Nani yupo macho?
๐ฅHaya sasa zamu yangu ya kuchat. Nani yupo macho?
Sitaki kulala.Si ulale
Hongera kwakoNo kuachwa sio ishu tena siku hizi
Ngoja pakuche nikutumie location mkuuKwenu wapi nije mda huu ???[emoji28][emoji28][emoji28]
Umeanza kua mkubwa naonaMbona sahivi nimetulia..๐
Kuachwa ni kama sunnaWe hujawahi kwani mbona wacheka watu..?