Anazingua huyo umbea anautaka codes zimemshinda ππππππππ ana heka heka huyo Mr komweee. Lol
Ujanja wake wotee huo, kutembea kwa codes haweziii?Anazingua huyo umbea anautaka codes zimemshinda πππ
Ndio hivyo uduguu JF haipoi haiboi πππUduguuu unanifanyaa nawehukwaaa kwa kuchekaaa.
Watu wabayaaaaa jamaniii, ππππππππ
Halafu codes nyepesi mbona πππUjanja wake wotee huo, kutembea kwa codes haweziii?
πππππ atalijuaa jiji la JF. Woiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ni full burudaniiiii, haichoki wala haipumzikii.[emoji23][emoji23][emoji23] hii ilinichekesha sana khaaa.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kuna vitu nawazaaa hapa, nachekaaa had machozii na kamasi tyuuh.Ndio hivyo uduguu JF haipoi haiboi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipipa kawa chizi fresh halafu watu wake wa karibu ndio wanamsnitch anakoelekea ataokota makopo.!
Bandika bandua likitoka hili linaingia hili ni sisi tyuu.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ni full burudaniiiii, haichoki wala haipumzikii.
Uwiiiiih
Ubuyuuu!!Halafu codes nyepesi mbona [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye aongee na sisi vizuri tumpe ubuyu alambe
Afu hajaijua vyediii JF mashogiree zake wanajifanya kum switch, kumbe ndo wanamchora na kumuandikaa ipasavyoo.Bandika bandua likitoka hili linaingia hili ni sisi tyuu.!!
Kipipa kawa Channel ya vichekesho JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kuna pipo mpk leo wametelekeza id zao kwa mambo km hizo πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kuna vitu nawazaaa hapa, nachekaaa had machozii na kamasi tyuuh.
Kipipa au kwa bed mzito? Kujifurugua hakuwezaa? Katoa boko show mbovu, watu wamejisepeshaaa kuleee.
Awaulizee wenziee walikimbia I'd zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majiraniiiii hukuuuu!!!!
umemuumiza jamaniUnaumwa eeehπππ
Huyo anaumiaga?π€umemuumiza jamani
Watu weuweeeeeee!!!! JF ina wenyewee na wenyewee ndo sisi.Hajui kuna pipo mpk leo wametelekeza id zao kwa mambo km hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawataki hata kuzisikia kilichowakuta halafu yeye anaijia JF winja winja km treni la SGR lazima ngedere na bundi wakate nyaya za umeme dadeq [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipipa wa kuja hajui lolote alijua mzee wa bible anampenda kweli, kumbe mwenzie chapa ilale town kitambo hiko.!!! Aaargajaaah [emoji23][emoji23]
Hao mashogile zake wanamjaza ujinga, si unajua ile km kuna vibe sehemu ukimuona shogaako anajichetua unamjaza ujinga halafu wewe huingii kwa stage unamchekea pembeni πππAfu hajaijua vyediii JF mashogiree zake wanajifanya kum switch, kumbe ndo wanamchora na kumuandikaa ipasavyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiiiiii JF sihamiiiii, wekaa tuwekeee.
Mbonaa hapoo badooo!!! Atachinaaaa huu mwakaa.
Web ya Mello ina Balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili dude bana Weeh la kimataifanaombeni huko pm namimi umbea kila siku nyinyi tu...π
mnaogopana tuHuyo anaumiaga?π€
Thubutuu..! Siwezi kujiroga tukigombana ashindwi kuja na uziπmnaogopana tu
ni madhaifu mnavumilianaThubutuu..! Siwezi kujiroga tukigombana ashindwi kuja na uziπ
Siweziiiππni madhaifu mnavumiliana