JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Uduguuu unanifanyaa nawehukwaaa kwa kuchekaaa.
Watu wabayaaaaa jamaniii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio hivyo uduguu JF haipoi haiboi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kipipa kawa chizi fresh halafu watu wake wa karibu ndio wanamsnitch anakoelekea ataokota makopo.!
 
Ndio hivyo uduguu JF haipoi haiboi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipipa kawa chizi fresh halafu watu wake wa karibu ndio wanamsnitch anakoelekea ataokota makopo.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kuna vitu nawazaaa hapa, nachekaaa had machozii na kamasi tyuuh.

Kipipa au kwa bed mzito? Kujifurugua hakuwezaa? Katoa boko show mbovu, watu wamejisepeshaaa kuleee.

Awaulizee wenziee walikimbia I'd zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Majiraniiiii hukuuuu!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ni full burudaniiiii, haichoki wala haipumzikii.
Uwiiiiih
Bandika bandua likitoka hili linaingia hili ni sisi tyuu.!!
Kipipa kawa Channel ya vichekesho JF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bandika bandua likitoka hili linaingia hili ni sisi tyuu.!!
Kipipa kawa Channel ya vichekesho JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu hajaijua vyediii JF mashogiree zake wanajifanya kum switch, kumbe ndo wanamchora na kumuandikaa ipasavyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiiiiii JF sihamiiiii, wekaa tuwekeee.

Mbonaa hapoo badooo!!! Atachinaaaa huu mwakaa.
Web ya Mello ina Balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kuna vitu nawazaaa hapa, nachekaaa had machozii na kamasi tyuuh.

Kipipa au kwa bed mzito? Kujifurugua hakuwezaa? Katoa boko show mbovu, watu wamejisepeshaaa kuleee.

Awaulizee wenziee walikimbia I'd zao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Majiraniiiii hukuuuu!!!!
Hajui kuna pipo mpk leo wametelekeza id zao kwa mambo km hizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawataki hata kuzisikia kilichowakuta halafu yeye anaijia JF winja winja km treni la SGR lazima ngedere na bundi wakate nyaya za umeme dadeq πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kipipa wa kuja hajui lolote alijua mzee wa bible anampenda kweli, kumbe mwenzie chapa ilale town kitambo hiko.!!! Aaargajaaah πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hajui kuna pipo mpk leo wametelekeza id zao kwa mambo km hizo [emoji23][emoji23][emoji23]

Hawataki hata kuzisikia kilichowakuta halafu yeye anaijia JF winja winja km treni la SGR lazima ngedere na bundi wakate nyaya za umeme dadeq [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kipipa wa kuja hajui lolote alijua mzee wa bible anampenda kweli, kumbe mwenzie chapa ilale town kitambo hiko.!!! Aaargajaaah [emoji23][emoji23]
Watu weuweeeeeee!!!! JF ina wenyewee na wenyewee ndo sisi.
Iko mabegani na kiganjaniii!! Yaan mwendo wa kugusaa tyuuh.

Mzee wa Ufunuo, nikimuona mbinguni naandamanaaa, aaaah wee ni mtuu mbaaaadiiiiiii.

Watu mwendo wa humuu tyuuuh, "top up styles "
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu hajaijua vyediii JF mashogiree zake wanajifanya kum switch, kumbe ndo wanamchora na kumuandikaa ipasavyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiiiiii JF sihamiiiii, wekaa tuwekeee.

Mbonaa hapoo badooo!!! Atachinaaaa huu mwakaa.
Web ya Mello ina Balaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao mashogile zake wanamjaza ujinga, si unajua ile km kuna vibe sehemu ukimuona shogaako anajichetua unamjaza ujinga halafu wewe huingii kwa stage unamchekea pembeni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio yanayomkuta kipipa sasa anaonekana kituko ila yeye hajishtukii kabisaaa anamwaga radhi 🀣🀣🀣

Halafu kipipa ni bibi sio mtoto wala nini?? Aiiii nyie mie aogooopaaaah.!! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
naombeni huko pm namimi umbea kila siku nyinyi tu...πŸ˜‚
Hili dude bana Weeh la kimataifa
Hili dude bana Weeh linapagawisha
Hili dude bana, hili dude bana weeeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umbea una wenyewe kenzy na watu wenyewe km sisi, hatuutafuti unatutafuta na maushahidi juu.!! Upo nyonyo 🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom