JF Chat: All members chat

Tena jifanye unaomba msaada kwake....utajutia....anakuanzishia thread
😂wewe ashawahi kukuanzishia thread?
enzo akee ananichekeshaga mnakaa vizuri unashangaa anaanza kuchokoza mtu kama jana ule uzi wa vocha alijua kunivunja mbavu mkewe anamkoma😂🙌
 
😂wewe ashawahi kukuanzishia thread?
enzo akee ananichekeshaga mnakaa vizuri unashangaa anaanza kuchokoza mtu kama jana ule uzi wa vocha alijua kunivunja mbavu mkewe anamkoma😂🙌
Hajawahi,Ila kwa mateso aliyopata intelli kisa aliomba elfu 3🤣🤣🤣🤣🙌
 
Hajawahi,Ila kwa mateso aliyopata intelli kisa aliomba elfu 3🤣🤣🤣🤣🙌
😂hiyo kuombana elfu 3 nahisi ilikua ni trend tu, sababu wakati ule tusi lilikua ni kuambiwa umeomba elfu 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…