JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Ni vizuri mm kwetu pekeyangu ndo sipend wali mamaang hata ale kutwa mara Tatu😃

Mdogowangu zamani tukipika ugali jioni alikuwa analia 🤣🤣🤣
Csta angu anapenda wali, mimi na mama ugali sasa nilikua nikigombana na csta naenda kwa mama namwambia tupike ugali dagaa na bamia vyote csta angu hali
Basi ataanza kulia😂😂
 
Andika kwanza vizuri. Nikuoe sio nikuwowe 😃
Alafu mpenz Wang na laaziz Lina maana moja 😃
Suala la kula inategemea na Hela inayoachwa mezani
nikubali kwanza naahidi nitakuwa pepo yako ya duniani no stress,ukiomba pesa ni cash,ukitaka na mimba fresh!. nitakula hiyo nyamnyam bila dhamana wala kesi!
 
Csta angu anapenda wali, mimi na mama ugali sasa nilikua nikigombana na csta naenda kwa mama namwambia tupike ugali dagaa na bamia vyote csta angu hali
Basi ataanza kulia😂😂
🤣🤣🤣🤣Hatari sana Huwa wanakera sana ikifika jioni utasikia Leo vipi Sasa cista akija kwangu namwambiaga kupangiwa sitaki utakula ulichokikuta 🤣🤣🤣
Kuna siku wakat ana miak Kam 12 hiv alilia kama amefiwa kisa tulipika unga wa dona alikuwa hatak hata kuliskia 🤣🤣
 
Back
Top Bottom