JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

😂wewe ashawahi kukuanzishia thread?
enzo akee ananichekeshaga mnakaa vizuri unashangaa anaanza kuchokoza mtu kama jana ule uzi wa vocha alijua kunivunja mbavu mkewe anamkoma😂🙌
Kwani umeenda wapi kulichachuka nn
Maana Jana nimelala mapema
 
Back
Top Bottom