Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃😃Kunamtu anaweza kujinyonga mkuu nitamuacha na nani mtoto wa watu 😀😀mi nakupenda
😂😂😂tuchukue sote nami usipokubali najinyongorongotoa sio kujinyonga tu!
Unaandika utoto 😂😁Cookie chats zangu za jana na leo mbona sizioni hapa?🤔 kwanini mmefuta?
Kama naandika utoto kwanini wasifunge id yangu?Unaandika utoto 😂😁
😂😁😁😁😁 Wewe mtu muhimu hawawezi kukupa banKama naandika utoto kwanini wasifunge id yangu?
Kumbe🤭😂😁😁😁😁 Wewe mtu muhimu hawawezi kukupa ban
😂😁😁Enzo ndo hachelewi kukuita dear x ukimzingua🤣🤣
Ndio ndio 😎😎Kumbe🤭
🤣🤣🤣
Unataka kusema Melo hatoi msosi ofisini?😂Mods walifuta hadi link zangu kule jukwaa la movie Itakuwa hawajala mchana 😁😂
Hawajala mchana hao wanetu ndio michezo Yao wakiwa na njaa 😂😂😁
Anatoa wakutosha sema wanetu wanakuwa bize sana na kompyuta hadi wana sahau msosi 😂😁😁Unataka kusema Melo hatoi msosi ofisini?😂