ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kwanini hawakusema sasa?hamkuwahi kujua server zinajaa...??😂
mi nawazoom tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hawakusema sasa?hamkuwahi kujua server zinajaa...??😂
mi nawazoom tu!
Hadii hii wamefuta basi huyu mod aliyefuta hii ni mwanetu wa Simba SC 🤣😁😁😁😁Boka anajua🙌
🤣😁😁😁😁
Duh kumbeee 🤣😁😁hamkuwahi kujua server zinajaa...??😂
mi nawazoom tu!
Nilijua tu watakujaga kufuta 🤣😁😁 Hawa wanetu Leo kule kwenye series naweka link nashangaa mzigo umepigwa shwaaaa
Au leo wana kisirani?🤔Nilijua tu watakujaga kufuta 🤣😁😁 Hawa wanetu Leo kule kwenye series naweka link nashangaa mzigo umepigwa shwaaaa
😂🤣🤣🤣🤣😁😁 Ila seva za jf hazipo bongo zipo marekani mkuumuwe mnakipimo sio kizazi hichi mnaweka tu!..😂
Unataka kusema hawana mzigo wa kutosha?🤔muwe mnakipimo sio kizazi hichi mnaweka tu!..😂
Tatizo ni mashabiki wa Simba SC Lia Lia hao 🤣😁Au leo wana kisirani?🤔
Usinitaje pamoja na hao ma boss tafadhali 🤔
Kuna kipindi wanetu seva zao zilidukuliwa sijui mwaka Gani ulee aloo ilikuwa balaaUnataka kusema hawana mzigo wa kutosha?🤔
Unamaanisha hawana mtaji wa kutosha?🤔zipo Germany hata kama hazipo huku ndo unafikiri hazijai si na wao wanalipia..
Nihadithie😂Kuna kipindi wanetu seva zao zilidukuliwa sijui mwaka Gani ulee aloo ilikuwa balaa
Basi bosi melo angerudisha ule utaratibu wa kuchangia aiseee kama zamani yaani Dunia ya sasa seva zinajaaje hovyo 😂🤣😂😁zipo Germany hata kama hazipo huku ndo unafikiri hazijai si na wao wanalipia..