Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Best song ππ naisevu kwenye pc yangu hapa
Huyu dada anajua sana π
Picha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Khe Haki ya mungu mbona Mimi siwezi kufanya hivyo na sijawahi kufanya hivyo mwambie hata Cookie na Active waangalie kama nafanya hivyoPicha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.
Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua
Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
Mbona sijawahi kufanya hiviPicha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.
Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua
Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
Mbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life bannedVincenzo umekosea heshima sana to yeye aseee ikiwezekana myamalize sio vizuri huyu mtu yuko social kama ephen sasa mambo gani hizo kumdhalilisha huyu dada wa watu
πdah! Mambo yashakua mengiiiVincenzo umekosea heshima sana to yeye aseee ikiwezekana myamalize sio vizuri huyu mtu yuko social kama ephen sasa mambo gani hizo kumdhalilisha huyu dada wa watu
Nimekwambia kama sio kweli yameisha kua na amaniMbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life banned
Mbona sielewi kinachoendelea mbona nilishaakaa kimya nikaachana nae enewei uchunguzi ufanyike Mimi suala la picha sihusiki nakaribisha mod wafanye uchunguziπdah! Mambo yashakua mengiii
Tajiriiiiii kumbe upo huku ππππMbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life banned
Mods wa nini sasa! Hujafanya basi kausha nimeelewaMbona sielewi kinachoendelea mbona nilishaakaa kimya nikaachana nae enewei uchunguzi ufanyike Mimi suala la picha sihusiki nakaribisha mod wafanye uchunguzi
ebu ninywe kaflying fish ka mwisho nilaleπdah! Mambo yashakua mengiii
Uduguu nimefika πππππLamomy
Uduguuuuu njooooo hukuuuu, ujioneeee mashostitooooo wanakwaruanaaaa wenyewee kwa wenyewee
Wanaviziana had wao kwa wao, hawaaminianiiiiiiii
Aaaaaiiiiiiiii! Mamboo nayapendaaa mie hayaaaaa!!!
Woyooooooooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi naondoka cz vurugu siweziπebu ninywe kaflying fish ka mwisho nilale
Ndio ka nini hako tenaππebu ninywe kaflying fish ka mwisho nilale