JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Picha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.

Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua

Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
 
Khe Haki ya mungu mbona Mimi siwezi kufanya hivyo na sijawahi kufanya hivyo mwambie hata Cookie na Active waangalie kama nafanya hivyo
 
Picha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.

Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua

Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
Mbona sijawahi kufanya hivi
 
Mamboooo yamehamiaaa hukuuuu, amaa neneeeee??
Woyooooooooooo!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kumekuchaaaaaaaaaa!!!!!!
Majiraniiiiiiiiiiiii hukuuuuuuuuuu!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lamomy

Uduguuuuu njooooo hukuuuu, ujioneeee mashostitooooo wanakwaruanaaaa wenyewee kwa wenyewee

Wanaviziana had wao kwa wao, hawaaminianiiiiiiii
Aaaaaiiiiiiiii! Mamboo nayapendaaa mie hayaaaaa!!!

Woyooooooooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vincenzo umekosea heshima sana to yeye aseee ikiwezekana myamalize sio vizuri huyu mtu yuko social kama ephen sasa mambo gani hizo kumdhalilisha huyu dada wa watu
Mbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life banned
 
Mbona sielewi kinachoendelea mbona nilishaakaa kimya nikaachana nae enewei uchunguzi ufanyike Mimi suala la picha sihusiki nakaribisha mod wafanye uchunguzi
Mods wa nini sasa! Hujafanya basi kausha nimeelewa
 
Lamomy

Uduguuuuu njooooo hukuuuu, ujioneeee mashostitooooo wanakwaruanaaaa wenyewee kwa wenyewee

Wanaviziana had wao kwa wao, hawaaminianiiiiiiii
Aaaaaiiiiiiiii! Mamboo nayapendaaa mie hayaaaaa!!!

Woyooooooooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguu nimefika 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom