Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Best song 😎😍 naisevu kwenye pc yangu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khe Haki ya mungu mbona Mimi siwezi kufanya hivyo na sijawahi kufanya hivyo mwambie hata Cookie na Active waangalie kama nafanya hivyoPicha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.
Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua
Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
Mbona sijawahi kufanya hiviPicha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.
Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua
Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
Mbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life bannedVincenzo umekosea heshima sana to yeye aseee ikiwezekana myamalize sio vizuri huyu mtu yuko social kama ephen sasa mambo gani hizo kumdhalilisha huyu dada wa watu
😂dah! Mambo yashakua mengiiiVincenzo umekosea heshima sana to yeye aseee ikiwezekana myamalize sio vizuri huyu mtu yuko social kama ephen sasa mambo gani hizo kumdhalilisha huyu dada wa watu
Nimekwambia kama sio kweli yameisha kua na amaniMbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life banned
Mbona sielewi kinachoendelea mbona nilishaakaa kimya nikaachana nae enewei uchunguzi ufanyike Mimi suala la picha sihusiki nakaribisha mod wafanye uchunguzi😂dah! Mambo yashakua mengiii
Tajiriiiiii kumbe upo huku 😂😂😂😂Mbona mnanituhumu jamani mnasema nimevujisha picha mbona sijavujisha picha na kama nimefanya hivyo nipigwe life banned
Mods wa nini sasa! Hujafanya basi kausha nimeelewaMbona sielewi kinachoendelea mbona nilishaakaa kimya nikaachana nae enewei uchunguzi ufanyike Mimi suala la picha sihusiki nakaribisha mod wafanye uchunguzi
ebu ninywe kaflying fish ka mwisho nilale😂dah! Mambo yashakua mengiii
Uduguu nimefika 😂😂😂😂😂Lamomy
Uduguuuuu njooooo hukuuuu, ujioneeee mashostitooooo wanakwaruanaaaa wenyewee kwa wenyewee
Wanaviziana had wao kwa wao, hawaaminianiiiiiiii
Aaaaaiiiiiiiii! Mamboo nayapendaaa mie hayaaaaa!!!
Woyooooooooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi naondoka cz vurugu siwezi😂ebu ninywe kaflying fish ka mwisho nilale
Ndio ka nini hako tena😁😁ebu ninywe kaflying fish ka mwisho nilale