JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

SalAmaleko
20240825_205221.jpg
 
Wewe umeenda kujiliza kwa modes pambana mwenyewe na wakutoe damu kabisaa.!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nakutetea naonekana mkorofi, ila leo Bahati yako namuheshimu Payge lasivyo ungelala umechoka.!! [emoji81][emoji81]
No wakili Mimi sihusiki sijaripoti Mimi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Picha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.

Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua

Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
Game of relay race
 
Back
Top Bottom