JF Chat: All members chat

Pole, japokuwa sijasoma yote.
 
Asante kwa kushkuru..!
enzo ana makosa sababu nilishuhudia jinsi alivyokuongelea maneno mabaya lakini toyeye na wewe umeboronga.

Jambo baya linapotokea usikurupuke kumshutumu mtu kwa maneno machafu jipe kwanza utulivu.
Hii itakuondolea wewe kuonekana kama yeye kumbuka mshawahi kua karibu ni vyema ungedeal na hili suala kwa upendo.

Ungesema tu kua sio kweli na maelezo mengine kuliko kusema vitu kama shoga wakati uhakika huna, epuka kutoleana maneno machafu na watu, siku zote chagua upande ulio positive, jipe muda wa kutafakari njia sahihi ya kuchukua hatua.

Hakuna adui wala rafiki wa kudumu hivyo muda wote wewe sambaza upendo...!

Ukijazwa usijae mzima mzima sio kwa hili tu la enzo popote pale!

Maneno ya kuambiwa changanya na yako...!

Uzuri ushamjua enzo ni mtu wa aina gani ni vyema umechagua kumuepuka.
 
Hakuna adui wala rafiki wa kudumu
Yupo adui wa kudumu,...ni yeye ....uzuri hatujuani....haimuathiri hainiathiri.....moyo wangu ulivyoharibika hata ningekuta wanamuua nisingetoa taarifa popote Wala kupiga kelele.Huwezi muongelea mtu vibaya pasipo sababu.Ngoja nikuambie mpenz.....NIKISHAMCHUKIA MTU SIRUDI NYUMA.😭😭😭😭 YAAN NEVER....Kuhusu makosa yangu sijutii kukosea juu yake,naomba asijutie kunikosea.Aiseee...unachukulia rahisi kuchafuliwa cute.Asante kwa kujali
 
pole
 
Aaaaaaah!! Asisemee ni shogaa akati wanafahamianaaa hao? Wee unajuajee km hanaa uhakika na asemachoo?

Em muachee toyeye asemee yoteee, sisi tunatakaa umbeaa uliokamilikaa.

Watu weuweeeeeee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakunaa amanii ya kufakeee, nasemajeee kazia hapooo.

Napendaaaa mambo haya miee, aaaaaawwwww!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na huo ndio MSIMAMO WETU WANYAKI yani viburi na jeuri vimezaliwa Mbeya..!!
Wakina mwaisa huwa hatukai na madeni ukitukopesha lazima tukulipe..!!!

Jeuri mwenzake kiburi, hawezi kukudhalilisha ukamchekea, shikilia hapo hapo nkamu gwanghu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushauri wa kutetea adui achana nao nkamu, mma asiyelepo ugo aseeeee.!! 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣 aseme atoe nyongo zake bana
 
Hakunaa amanii ya kufakeee, nasemajeee kazia hapooo.

Napendaaaa mambo haya miee, aaaaaawwwww!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Oyooooo.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dada wakili nipo hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…