Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Daaah! Bado umeiniacha!Ni forehead Mkuu
Ngoja nika gugo[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah! Bado umeiniacha!Ni forehead Mkuu
Ni paji la usoDaaah! Bado umeiniacha!
Ngoja nika gugo[emoji23]
Okey nimeku read, uko heri lakiniNi paji la uso
Nipo bien vipi weweOkey nimeku read, uko heri lakini
Mi bila bila aiseeeNipo bien vipi wewe
Bila bila kivipiMi bila bila aiseee
Siku inaisha kiugumu mnooooBila bila kivipi
Uwe mwema kwako nduguUsiku mwema wakuu
Ooh pole sanaSiku inaisha kiugumu mnoooo
LikewiseUsiku mwema wakuu
Aminaa, japo changamoto lakini tumaini lipoo.Ooh pole sana
Mungu ni mwema hakika kila kitu kitaenda sawa.
Ubarikewe sanaaaOoh pole sana
Mungu ni mwema hakika kila kitu kitaenda sawa.
AmenAminaa, japo changamoto lakini tumaini lipoo.
Amen na wewe .Ubarikewe sanaaa
[emoji120][emoji120][emoji120]Amen
Kukubwa ni hicho
Sina mkesha ..[emoji120][emoji120][emoji120]
Unamkeasha nini ndugu [emoji23]
Okay ujaliwe ndoto njema [emoji120]Sina mkesha ..
Nitaingia kulala muda si mrefu
Ooh nawe pia .Okay ujaliwe ndoto njema [emoji120]
Hizo za saizi ndo tamu!..
Hivi kwanini wanajf kila linapokuja swala la kuumizwa na mapenzi mimi ndo nimekuwa wa mfano..? Imefika hatua Sasa mpk nimechoka..😅