JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Mmh ndo aniamshe sa tisa unajuwa sijapata usingizi mpk sahii.atatoa tu

Nawe wako vipi
Haha! Wangu kaamua awe mtundu! Amevunga kununa anataka kulala lkn usingizi haumpati nimemwambia tunakesha wote na kweli tunakesha..😂
 
🤣usimfanyie hvyo mwenzio mwache alale sasa wewe si upo huku na watoto wazuri wacha alale utamuamsha kwenye chaasubuhi...
 
Watoto wazuri wapi yeye ndo kabeba usingizi wote..😂

Za siku lakini..?
 
Back
Top Bottom