JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Kwani maongezi hawajafanya tu..?
In short kwenye hii vita kuna propaganda nyingi sana... Ndio maana ni ngumu kupata majovu kamili.. Coz hata media za nje nazo wanfanya propaganda tu..

Hakuna watu wa kuamin kbsa
 
In short kwenye hii vita kuna propaganda nyingi sana... Ndio maana ni ngumu kupata majovu kamili.. Coz hata media za nje nazo wanfanya propaganda tu..

Hakuna watu wa kuamin kbsa
😂😂 Kama kawaida ya wanadamu sisi annunaki tunawacheki tu na propaganda zenu..
 
[emoji23][emoji23] Kama kawaida ya wanadamu sisi annunaki tunawacheki tu na propaganda zenu..
Annunaki hatuna masihara..... Wakiendelea na mambo yao... Tunashuka duniani tunaumba tena race nyingine...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Annunaki hatuna masihara..... Wakiendelea na mambo yao... Tunashuka duniani tunaumba tena race nyingine...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
😂 Sawa mkuu wacha annunaki nipumzike kidogo baadae nifatilie na hilo sakata huko dunia ya mapambano
 
Ungeenda kula kwa mama Claree unadhani hayo yangekukuta? 😅😅
Shida hizo za kujifanya unaenda kula Regency Hotel….
Polee, safiiii, komaa 💃💃
Regency Hotel ya mawe.???
Nilikula New Cafe mdogo wangu..!

Halafu una roqho chachu maphisaqo'...!
 
Back
Top Bottom