Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa atapewa tuu aache mapepe tuuMpe hela sasa aongeze comments ziwe nyingi
Ah Mm simkumbuki ila Comments ilipapasa kamoyo kanguComment ilikuwa inahusu nini? Na ilikugusa kitu gani kilichokuvutia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimuonaa wapiiiii? Em sema kweliiiiWa kuhusu boss la dp world, halafu jana nilimuona sehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahYani anaforce wakati pesa hana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mapepe inamalizwa na pesaPesa atapewa tuu aache mapepe tuu
Wanasema ukweli Chana wallet, sio babe, babe. Umeambiwa mi babe show?? Hebu mwaga pesa Mbaga 😍Unawashirikisha vigagula akina Evelyn Salt unategemea nn 😂
Ado ado na pesa zinaflow 😜Sawa ila twende ado ado sasa
Hadi hapo ww muongo, sasa hayo tuachane nayo mapenzi ya Julieh & Romeo. Turudi huku kwenye nature yetu wamatumbi, “Babe gesi imeisha” 😜Ah Mm simkumbuki ila Comments ilipapasa kamoyo kangu
Ona huyu kigagula nae 😂Uduguu nimechekaa had baas.
Nilimuona kwenye ule uzi wa mkesha 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimuonaa wapiiiii? Em sema kweliiii
Nyokoooooooooo 😎Ewaaaaahh 😂😂😂😂
Nishaachika uduguu, ss hivi siingizi wanaume wenye njaa tena kwenye moyo wangu. 😂😂😂🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Shikilia hapo hapo sisy EveMapepe inamalizwa na pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mparee gani wee, mbona wangu hayuko km wee?Ona huyu kigagula nae [emoji23]
😂😂😂 mwaga pesa moyo ulainikeItaingia tuu, n suala la muda tuu 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa sanaa ujue.Nishaachika uduguu, ss hivi siingizi wanaume wenye njaa tena kwenye moyo wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]