Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mwenyewe 😂😂😂Nyokoooooooooo 😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe 😂😂😂Nyokoooooooooo 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukumstuaaa jamaniii ex shemelaaa?Nilimuona kwenye ule uzi wa mkesha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi hapo ww muongo, sasa hayo tuachane nayo mapenzi ya Julieh & Romeo. Turudi huku kwenye nature yetu wamatumbi, “Babe gesi imeisha” [emoji12]
mbona kaka zako wote sita nilkua nao,,wote wameniachq.Yupi? Mana ulikuwa nao wawili. Niachie mimi anarudi huyo 😂😂😂
Nimefunga nafasi ya mapenzi ya Romeo & Julieth. Ni kupendana kwa pesa tyuuu 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa sanaa ujue.
Nilikuwa na usingizi 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukumstuaaa jamaniii ex shemelaaa?
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote sita? Wifi kunywa Azuma box 3 kabla yutiayi sugu haijakushambulia kwa kasi 😂😂😂mbona kaka zako wote sita nilkua nao,,wote wameniachq.
Ndo maana ake, pesa mbelee km tai. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefunga nafasi ya mapenzi ya Romeo & Julieth. Ni kupendana kwa pesa tyuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee muongoooNilikuwa na usingizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah nimelia sana 😭Shikilia hapo hapo sisy Eve
Ety anasema alilogwa na wapare[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em muulize vizuri kwani.
Sasa hy pesa nakutumia wap mahi, au kuna JF-Pesa?Hadi hapo ww muongo, sasa hayo tuachane nayo mapenzi ya Julieh & Romeo. Turudi huku kwenye nature yetu wamatumbi, “Babe gesi imeisha” 😜
Hapa ni kupewa bill mpk ya supu ya mbwa wangu, sijui Mbaga atamudu? 😂😂😂Ndo maana ake, pesa mbelee km tai. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]