Basi nakuja namimi unioneSijawahi kumuona yoyote jf zaidi ya Max mwenye jf yake..!! Wengine wote hatujuani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakufa nimechoka sanaaa, sio kwa heka heka hizi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em nambie ulichokumbuka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii wee acha kuwa muogaa bhanaa.Akhu!! Ushemeji haufi sitaki yatokee kwa sele, wakirudiana unaanza kuumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Ogopa watu wanaogusanisha vitovu vyao
Kweli umeanza kunipenda πππC kama ile unasema mke anainamishwa mbuzi kagoma kwenda π
Akhu! Sitakiiii kabisa, mtu anayefanya maamuzi bila kurudi nyuma ni mimi peke yangu. πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii wee acha kuwa muogaa bhanaa.
Kwani huniaminiii?
Karibu sanaBasi nakuja namimi unione
Wee ndo muongo sio wa kukuaminiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Akhu! Sitakiiii kabisa, mtu anayefanya maamuzi bila kurudi nyuma ni mimi peke yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wengine siwaamini ndiomana nakaa pembeni sana sana nawasapoti na mahaba yenu, kwenye ugomvi nawapa maneno ya kuwatia moyo imeishaaa hiyo.
Kimewaka au siyo πKweli umeanza kunipenda πππ
Mtu akishaanza kununa na comments zangu ambazo najua haziko poa, najua tayari kumekucha.!! ππ
Ntaacha Mbaga usijali mahi lavu.
Mimi uduguu na mchanga nalamba ndo ntoleee hiyo sigeuki nyuma tenaah.!! Drama za jf nimefunga rasmi πWee ndo muongo sio wa kukuaminiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hukumbukiiii eeeeh? Jizime data hivyooo, sema sahivi ni kukaa kimastaa no kuingilia husiano la mtu, kitakulambaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua, mtu akianza kupenda anaanza kutaka kukushepu lazima ππππKimewaka au siyo π
π Ila ht usipokuwa wangu, ila kuna namna najisikia vibaya nikiona kuna mambo hayapo sawa kwa girl nayemuelewa.Najua, mtu akianza kupenda anaanza kutaka kukushepu lazima ππππ
Anahisi tayari ushakuwa mali yake
Hivi ni nini kinatokea mpk mnakuwa hivyo?? Mana sio mara moja unajisemesha na comments zangu? πππππ Ila ht usipokuwa wangu, ila kuna namna najisikia vibaya nikiona kuna mambo hayapo sawa kwa girl nayemuelewa.
Mm cjawah kumtukana mtu humu labla kupishana kauli tuu, afu khs comment zangu bhana ujue mm n mwanaume afu ww n mwanamke hvy lazima ubehave vzr ht kama hakuna anayekujua humu πHivi ni nini kinatokea mpk mnakuwa hivyo?? Mana sio mara moja unajisemesha na comments zangu? ππππ
Halafu sijui kwann hii inatokea sana mtu akianza kunionyesha kunipenda anaanza hizi hekaheka?!! Halafu muda huo yy mwenyewe anakoment pumba km wewe Mbaga, naonaga comments zako tena zingine mpk unatukana.!! Ila ww hupendi kuona hivyo kwangu.!!! Ujue mnanishangaza?!!
Bas kuanzia sasa ntayafanyia kazi, β¦β¦β¦βοΈ noted
Kweli umependa mpare ππMm cjawah kumtukana mtu humu labla kupishana kauli tuu, afu khs comment zangu bhana ujue mm n mwanaume afu ww n mwanamke hvy lazima ubehave vzr ht kama hakuna anayekujua humu π
Dah nimelia sana πNB; Mimi sio mpenzi wako. Nafata ushauri tu. πππ
Yeeeh nimerudiKwani upo Tz?
KaribuYeeeh nimerudi